Hii imekuwa tofauti kwa Kanye West na Kim Kardashian ambao waliamua kuoneshana mahaba ndani ya lift na hawakusubiri tendo lao hilo kuvujishwa kupitia video kama ugonvi wa wenzao, wao wamejipiga selfie na kupost mapema.
Huu ni kama muongozo kwa mr&Mrs. Carter kuwa ile ingeweza kuwa sehemu ya kuonesha mapenzi na sio kupigana.