Tuesday 29 July 2014

TAZAMA KILICHOMKUTA DADA HUYU BAADA YA POMBE KUMKOLEA




dada huyu baada ya kubugia mitungi alishindwa kutembea kuelekea home, na kuamua kulala kiroho safi barabarani, hii ni aibu sana kwa kina dada, kunywa kidogo bhana kwani na kesho si ni siku, sio unapiga mitungi kama hakuna kesho