Sunday 26 April 2015

MH. LOWASSA KATIKA MKESHA WA SHEREHE ZA MIAKA 51 YA MUUNGANO MJINI DUBAI LEO



Waziri mkuu wa zamani na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akitoa salamu zake kwenye sherehe za miaka 51 ya muungano ambazo ziliandaliwa na jumuiya ya watanzania wanaoishi katika Falme za kiarabu (UAE) .Sherehe hizo

HAKIKA HIZI NDIZO BARABARA ZA MAGARI HATARI KUPITA DUNIANI...KITONGA CHA MTOTO



Saturday 25 April 2015

NAY WA MITEGO &SHAMSA NI MKE NA MUME!!,SHUHUDIA


Musa Mateja
Mara baada ya kuelezwa kwamba wapo kwenye uhusiano wa kimapenzi huku wenyewe wakidanganya wana ‘projekti’, hatimaye majirani wamefichua kuwa mwigizaji Shamsa Ford na mwanamuziki Emmanuel Elibariki ‘Nay’, sasa wanaishi kama mke na mume.

WEMA SEPETU ATIBUA NDOA YA PETIT MAN!!



Hatimaye lile sekeseke la ndoa ya meneja wa wasanii wa Bongo Fleva wanaosimamiwa na Kampuni ya Endless Fame, Petit Man na mdogo wa

Friday 24 April 2015

Hii ndio list ya Marais 8 wa Afrika wanaoongoza kwa utajiri

plane-red-carpetKuna tafiti mbalimbali zilizowahi kufanywa, lakini leo nimekuja na hii list ya Marais nane wanaoongoza kwa kuwa na utajiri mkubwa zaidi ya wenzao Afrika.
Iko ishu ya Marais kung’ang’ania madaraka kwenye nchi za Afrika, kingine ni hii ishu ya kujilimbikizia mali, japo wapo wanaokuwa nazo kabla ya kushika madaraka lakini wengine wanajichumia hapohapo wakiwa madarakani.

WAZIRI MKUYA AMALIZA ZIARA YAKE NCHINI MAREKANI


Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya akiwa pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa CITI na Mkuu wa Afrika kwa kundi la sekta ya utumishiwa umma Bw. Peter M. Sullivan alipo mtembelea Mhe.Waziri kwa madhumuni ya kuisadia nchi ya Tanzania katika ubalozi wa Marekani mjini Washington DC

WAZUNGU NI MAMBURULA BALAA ONA TUKIO LA AJABU

Australian jockey Blake Shinn (right) suffered an unfortunate wardrobe malfunction while racing on Thursday 
Australian jockey Blake Shinn (right) suffered an unfortunate wardrobe malfunction while racing on Thursday 
Shinn (right) bared his bum to all  at the Hyland Race Colours Plate in Canterbury, Australia during the race
Shinn (right) bared his bum to all at the Hyland Race Colours Plate in Canterbury, Australia during the race