Jeneza likiwa na mwili wa aliyekuwa Askofu wa kanisa la Anglican Dayosisi ya Dodoma Godfrey Mdimi Mhogolo aliyefariki wiki iliyopita nchini Afrika yaKusini alikopelekwa kwa matibabu likiwa ndani ya kanisa kuu la Roho Mtakatifu wakati wa ibada maarumu.
Waumini
na viongozi wa kanisa la Anglican Dayosisi ya kati wakilishusha Jeneza
lilibeba mwili wa aliyekuwa askofu wa kanisa hilo Godfrey
Mhogolo ulipofikishwa kwa mara ya kwanza tokea alipofariki nchini Afrika yaKusini kanisani hapo kwa ajili ya kufanyiwa ibada ya maombezi.
Wachungaji
na makasisi wa Kaanisa la Anglican Dayosisi ya Kati wakiwa wamejipanga
nje ya kanisa la Roho mtakatifu mjini Dodoma kwa ajili ya kuupokea mwili
aliyekuwa Askofu wa kanisa hilo Godfrey Mhogolo.
Waumini
wa kanisa la Anglican wakiwa kwenye mahema yaliyowekwa nje ya kanisa
kuu la Roho Mtakatifu walipokuwa wakifuatilia ibada ya kuuombea mwili wa
aliyekuwa Askofu wa Kanisa hilo kanda ya Dodoma aliyefariki wiki
iliyopita alipokuwa kwenye matibabu nchini Afrika ya Kusini.
Wageni
mbalimbali kutoka nje ya nchi wakiwa ndani ya kanisa la Roho Mtakatifu
kwa ajili ya ibada maaumu ya kuuombea mwili liyekuwa askofu wa kanisa
hilo Godfrey Mhogolo aliyefariki wiki iliyopita alipokuwa kwenye
matibabu Afrika ya Kusini.
Ndani
ya kanisa la Roho mtakatifu waumini wakifuatila ibada ya kuuombea mwili
wa aliyekuwa askofu wa kanisa hilo Godfrey Mhogolo aliyefariki wiki
iliyopita akiwa kwenye matibabu.
Baadhi ya Viongozi wa Serikali wakiwa kwenye ibada hiyo.
Waumini wa kanisa hilo wakiwa ndani ya hema lilijengwa katika eneo la makaburi ya kuzikia viongozi wa kanisa la Anglican
Dayosisi ya kati ambapo walikuwa wakiandaa sehemu ya kuuzikia mwili wa
aliyekuwa Askofu wa Kanisa hilo Godfrey Mhogolo unaotarjiwa kuzikwa
kesho Jumamosi.
PICHA NA JOHN BANDA WA PAMOJA BLOG