Afisa
mtendaji wa Kampuni ya DMB ambao ni wamiliki wa Maisha Plus Masoud Ally
(Masoud kipanya) akiongea katka uzinduzi wa kijiji cha Maisha Plus,
ambapo jana washiriki wapatao 29 waliingia kijijini kuanza kukabiliana
na changamoto za kuweza kupata shilingi milioni 25 za kitanzania. Picha
na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog.
Washiriki
wa shindano la Mshindi wa Maisha Plus wakipewa maelekezo machache mara
baada ya kuwasili kijijini kwao. Picha na Cathbert Kajuna wa Kajunason
Blog.
Mmoja
ya wawakilishi toka Oxfam ambao ni wadhamnini wa Maisha Plus 2014
akizungumza machache. Pembeni yake ni Afisa mtendaji wa Kampuni ya DMB
ambao ni wamiliki wa Maisha Plus Masoud Ally (Masoud kipanya). Picha na
Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog
Mkuu
wa Kijiji… Mwite babu wa kaya akiwepo kuhakikisha wanakijiji
wanakaribishwa kwa shangwe. Picha na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog
Kazi
ya kujenga nyumba za kuishi washirki wa maisha plus ikiendelea… ambapo
washiriki hao walitakiwa kujenga nyumba zao za kuishi ndani ya masaa 48.
Picha na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog
Kila mmoja anawajibika kuhakikisha kazi ya kujenga nyumba inafanikiwa. Picha na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog.
Wadau
kutoka Oxfam wakibadilisha mawazo mara baada ya kufika katika tukio la
uzinduzi wa wawashiriki kuingia kijijini. Picha na Cathbert Kajuna wa
Kajunason Blog.
Safari
ya kuelekea kijiji cha Maisha Plus imeanza rasmi… washiriki wakiwa
wamebeba mabegi yao ambapo kila mmoja alibeba mzigo wake mwenyewe kwa
kutembea kwa miguu umbali wa kilometa 1.5. Picha na Cathbert Kajuna wa
Kajunason Blog.
Safari
ikiendelea huku washiriki wakiwa wameshachoka… wengine walitamani
kughairi kuendelea na safari. Picha na Cathbert Kajuna wa Kajunason
Blog.
Hakuna kuchoka, kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe… Picha na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog.




