Monday, 24 March 2014

UMATI WAFURIKA TAMASHA LA COCA COLA HUKO COCO BEACH DAR


  Msanii Vannesa Mdee 'Vee Money' akioneha ujuzi wake stejini.

Joh Makini akiwapagawisha mashabiki katika viwanja vya Coco Beach.
   Mashabiki wakionyesha kufurahishwa na burudani zilizokuwa zikitolewa na baadhi ya wasanii.
   Diamond akifanya yake stejini kuwafurahisha mashabiki.
  Diamond na kundi lake la Wasafi wakionyesha ujuzi wao.
    Madensa wa Wasafi Camp wakifanya yao.
  Diamond akiwatuliza mashabiki baada ya kumtaka arudie kuimba wimbo wa Ngololo.
Ngololo ikiwashika mashabiki.
Mzee Gurumo akimpa sapoti Diamond baada ya kushuka stejini.
  Vijana wakicheza soka kabla ya wasanii kupanda stejini.
    Mashabiki wakiangalia mashindano ya mpira wa miguu kwa vijana.
Baadhi ya mashabiki wakianza kusogea stejini.
WATU wengi walijitokeza jana ufukwe wa Coco Beach jijini Dar es Salaam kushuhudia tamasha la Coca Cola llililokutanisha wasanii mbalimbali maarufu wakiwemo Diamond, Joh Makini, Vanessa Mdee na wengineo.