
Tukio la kusikitisha na
la kinyama limetokea huko mjini Floplandia baada ya mahakama kumwachia
huru mtuhumiwa wa ubakakaji kutoka gerezani akiwa na hatia dhidi ya
kesi hiyo iliyokuwa inamkabili.
Kijana huyo ambaye jina
lake limeifadhiwa alikutwa na mkasa huo ambao ulipelekea kupoteza maisha
baada ya kutoka mahakamani kueleka nyumbani kwake, ndipo alipo vamiwa
na wananchi wenye hasira kali wakiwa na silaha kali kama visu, mapanga
na mawe na kuanza kupiga kwa kudai kuwa mbakaji hana ruhusa ya kuachiwa
huru.
Baadhi ya mashuhuda wa
tukio hili walidai kuwa kuachiwa huru kwa mtuhumiwa huyu inawezekana ni
kwasababu ya kutoa rushwa ndiko kulikopeleka sheria kupindishwa na yeye
kuwa huru wakati alikuwa na hatia hiyo ya Ubakaji.
Angalia picha zaidi za tukio hili.

Kidole cha mbakaji huyo kikiwa pembeni ya mwili wake.


kidole cha mbakaji huyo kikionyesha kitufulani ambacho akikuweza kutambulika baada ya kufa.


sehemu nyingine za
mwili wake ambazo zilikatwa na wananchi hao wenye hasira kali juu ya
kukio la kuachiwa huru mtuhumiwa wa ubakaji.

