Ajali mbaya iliyohusisha magari 6 yatokea Ubungo jijini Dar katika lango kuu la kuingilia mabasi
Ajali mbaya imetokea ubungo lango kuu la kuingilia mabasi yatokayo
mikoani. Ajali hiyo imehusisha magari 6 likiwemo UDA .Mpaka sasa haijajulikana
idadi ya watu waliopoteza maisha.