Naitwa Alice Manyalla Akinyi, Kijana wangu anaitwa Josh Jojo ana umri wa miaka miwili (2), Josh hana vituko sana ila anapenda sana kupiga
picha, ukishika simu anataka umpige picha na umuoneshe, camera nayo akiiona tu anataka umpige picha basi ataweka kila aina ya pozi.
Asante,
Alice Manyalla Akinyi