Mama alikutwa hapa maeneo ya darajani manzese asubuhi akiuza supu ya mapupu kwa wale wenye kuhitaji.
Supu ya mapupu ni maarufu sana
uswahilini huwa ina mchanganyiko wa vitu kadhaa
kichwa,ngozi,mapafu,bandama yaaani mavitu flani yale ambayo hubaki
ng'ombe akichinjwa watu hawali au havina soko.
Watoto wakijipatia supu kutoka kwa mama muuza supu.


