Unaambiwa rapper wa Cash Money > Nicki Minaj… anajipanga kuja na muonekano mpya huku akijiandaa kutoka na album au mixtape.
Mara nyingi picha zilizozoeleka ni zile
zinazomuonyesha akiwa na muonekano wa Barbie kama kawaida yake lakini
hizi za sasa alizozitoa mwenyewe ameonekana kuwa na nywele zake kabisa
bila vitu vingine anavyojitupiaga.





Unadhani kapendeza kwa muonekano huu zaidi ya ule uliozoeleka?