Tofauti
na video ya Skelewu ambayo watu wengi hawakuipenda na kuichana waziwazi
kwenye Youtube, mapenzi kwa hii video mpya yamekua makubwa kwa upande
wa fans mpaka Davido mwenyewe amewashukuru fans kwa comment nzuri.
Director wa video hii ndiyo yuleyule aliyefanya video ya number one remix ambayo Davido kashirikishwa na Diamond