Saturday, 8 February 2014

TAZAMA PICHA HIZI ZA USWAHILINI..! USIPOCHEKA WE JEURI..! DOGO WA MAKAMO AFANYA YAKE


HII ni katika pitapita zangu mitaani nilikutana na aliyejifunza bia ya kienyeji bila kuchelewa, Kwa utafiti uliofanya na Admini wa Website hii ya masainyotambofu.com ni kwamba mtoto huyu ataanza kukicharaza kiingreza mapema sana kutokana na almashauri ya kichwa chake kuanza zoezi la kubeba mzigo mzito wa alukoholu...! Anafu bia hii haimsumbui mtoto maana inauzwa ikiwa wazi hakuna mambo ya kufunguafungua wala nini..




Huku mkononi akiteremshia na Spidi (mguu wa kuku)


Stimu zilianza hivi..! Lkini haikupatikana sababu ya kumfanya asahau kitoweo chake mkononi..! Yani Spidi (Mguu Wa Kuku) upo mkononi akizinduka anaendelea kama kawaida.


Chaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii...!!!

KAMA ULIKUWA BADO HAUJAJIUNGA NAMI MOJA KWA MOJA ONLINE KWA MAPICHA ZAIDI
 
CREDIT : MASAI NYOTAMBOFU