JIWA MOJA
AMBAYE AKUJULIKANA ALITOKA WAPI KATIKA MAHAKAMA YA WILAYA YA KAHAMA
KABLA YA KUPEWA KWA DHAMANA KWA WAFASI WA CHADEMA NA MBUGE WAO SLYVESTER
KASULUMBAYI .
MBUGE WA
MASWA SLYVESTER KASULUMBAYI WAKIWA NA VIONGOZI WA CHADEMA WILAYA YA
KAHAMA NA MWENYEKITI JUMA PROTEX WAKITOKA MAHAKAMANI BAADA YA KUKIDHI
HATI YA DHAMANA
MBUGE WA MASWA SLYVESTER KASULUMBAYI WAKIONYESHA VIDOLE JUU WAFASI WAO BAADA YA KUPEWA DHAMANA .
WAKIWA NA FURAHA BAADHI YA VIONGOZI WA WILAYA WA CHAMA CHA MAENDELEO NA DEMOKRASI CHADEMA WAKITOKA NJE YA MAHAKAMA YA WILAYA
HIVI NDIYO HALI YA KUWA HURU KWA MBUGE WA MASWA MASHARIKI KWA TIKETI YA CHAMA CHA DEMOKRASIA MAENDELEO CHADEMA.
BAADHI YA WAFASI WA CHADEMA WAKIWA NA FURAHA BAADA YA WEZAO KUPEWA DHAMANA
HATA HIVYO PIKIPIKI NAZO ZILIKUWEPO KWA MAPOKENZI KWA KWENDA OFISINI KWAO
HIVI NDIYO BAADHI YA BARABARA TOKA MAHAKAMA YA WILAYA YA KAHAMA KWENDA KATIKA OFISI YA CHADEMA BAADA YA MBUGE KUPEWA DHAMANA
HII NDIYO HALI YA MAHAKAMANI LEO
MANDAMANO YA BODA BODA NAYO HAYAKUWA MBALI KWENYE MSAFARA WA CHADEMA
CHENZEA NGUVU YA UMMA WEE ACHA TU ,,,,,,,
NDIVYO MSAFARA WA CHADEMA HULIKUWA MJINI KAHAMA
WEWE ACHA NGUVU YA UMMA MAHAKAMANI