MJADALA: TAZAMA VIDEO NA PICHA ZA MNATO KISHA TOA MAONI YAKO NI KWELI LIVERPOOL WALINYIMWA PENATI NA HOWARD WEBB DHIDI YA ARSENAL?
Kocha wa Liverpol
Brendan Rogers amelalamika kwamba mwamuzi Howard Webb aliinyima penati
timu yake na kusababisha timu yake kutolewa katika Kombe la FA. Angalia
ushihidi huu wa picha na video kisha toa maoni yako. Je hii ilikuwa
penati kweli?