Waziri
wa Mambo ya Nje Ndugu Bernard Membe akizungumza na waandishi wa habari
baada ya kumaliza kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili ya CCM mjini
Dodoma leo Februari 16,2014.
Waziri
wa Mambo ya Nje Ndugu Bernard Membe akizungumza na waandishi wa habari
nje ya Ukumbi wa NEC mara baada ya kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili
ambapo alisema Kamati ya Maadili imeuliza masuala mazito na maswali
magumu yanayohusiana na uvunjaji wa maadili ya uongozi wa chama chetu.