Saturday, 21 December 2013

VIKOSI VYA LEO: KASEJA NA IVO LANGONI, OKWI NA KIEMBA WAANZIA BENCHI MTANI JEMBE TAIFA

MAKIPA nguli nchini, Juma Kaseja wa Yanga na Ivo Mapunda wa Simba SC wote wameanzishwa katika vikosi vya timu zao kwa ajili ya mchezo wa Nani Mtani Jembe unaoanza Saa 10:00 jiobni hii, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Mshambuliaji Emmanuel Okwi ameanzia benchi Yanga pamoja na Amri Kiemba kwa upande wa Simba SC.
Yanga; Juma Kaseja, Mbuyu Twite, David Luhende, Nadir Haroub ‘Cannavaro’, Kevin Yondan, Athumani Iddi ‘Chuji’, Haruna Niyonzima, Frank Domayo, Didier Kavumbangu, Mrisho Ngassa na Hamisi Kiiza.
Mashabiki wa Yanga wana hamu na Okwi, lakini anaanzia benchi

Mashabiki wa Simba hawana wasiwasi

Benchi; Deo Munishi ‘Dida’, Oscar Joshua, Juma Abdul, Simon Msuva, Rajab Zahir, Hassan Dilunga, Emmanuel Okwi, Jerry Tegete, Relliant Lusajo, Nizar Khalfan, Hamisi Thabit na Said Bahanuzi.
Simba SC; Ivo Mapunda, Haruna Shamte, Issa Rashid ‘Baba Ubaya’, Joseph Owino, Donald Mosoti, Jonas Mkude, Haroun Chanongo, Henry Joseph, Amisi Tambwe, Said Ndemla na Awadh Juma. 
Benchi wapo Yaw Berko, Omary Salum, William Lucian ‘Gallas’, Ramadhan Chombo ‘Redondo’, Ramadhani Singano ‘Messi’, Zahor Pazi na Amri Kiemba.