Saturday, 21 December 2013

TAZAMA PICHA ZA MAPOKEZI YA ZITTO ALIVYOTUA KIGOMA MUDA HUU,MAELFU YA WATU WAMPOKEA






Mbunge wa Kigoma kaskani Mh Zitto Kabwe akisalimiana na wakazi wa Kigoma mara baada ya Kuwasili kigoma asubuhi ambapoa wakazi wa kigoma wamejitokeza kwa wingi kumpokea Mbunge wao
 Zitto Kabwe akiwa katika gari la wazi mara baada ya kutua kigoma asubuhii ambapo amepata mapokezi ya kishindo


wafuasi wa Zitto kabwe wakiwa katika maandamano..