![]() |
Kipa mpya wa Yanga SC, Juma Kaseja aliyesajiliwa kutoka kwa wapinzani, Simba SC, leo asubuhi ameanza mazoezi na timu yake hiyo Uwanja wa Bora, Kijitonyama, Dar es Salaam |
![]() |
Wamekutana tena; Kaseja kulia akiwa na Ally Mustafa 'Barthez' waliyewahi kufanya naye kazi Simba SC |
![]() |
Mpendane, msisikilize majungu; Kocha wa makipa, Mkenya Razack Ssiwa katikati akzungumza na Barthez na Kaseja |
![]() |
Wachezaji wa ndani wakijifua |