Tuesday, 24 June 2014
ACHEZEA KICHAPO BAADA YA KUIBA
Akijitetea asamehewe.
Akijutia kwa kitendo alichokifanya.
Akiendelea kushushiwa kichapo kilichomtoa majeraha.
Akiwa hoi kwa kichapo kutoka kwa raia.
KIJANA mmoja aliyejulikana kwa jina mola la Said na ambaye anasemekana ni kondakta wa daladala zinazosafiri kati ya Mwenge na Kariakoo alipata kipigo kikali kilichomtia majeraha kutoka kwa wananchi wenye hasira baada ya kukwapua fedha (sh. 12,000),
juisi na soda kutoka kwa mfanyabiashara ndogondogo anayeendesha shughuli zake kwenye kituo cha mabasi cha Bamaga karibu na Chuo cha Ustawi wa Jamii, jijini Dar es Salaam.