Watu 10 jana walipoteza
maisha katika ajali ya gari ambayo ilitokea KM65, Benin. Ajali hiyo
ambayo ilitokea baada ya Lori la mizigo lenye namba ya usajili LSR 649
XK kugongana na Toyota Hiace ya kampuni ya usafirishaji ya "MUNGU NI
MWEMA" yenye namba ya usajili WWR 625 XA.
Miongoni wa watu
waliopoteza maisha katika ajali hiyo ni Jane na Oyemwen Igbinoba ambao
walikuwa katika maandalizi ya harusi yao iliyokuwa ifanyike mwezi ujao
na majeruhi walifikishwa katika hospitali ya Shilo.
Roho za marehemu wote zipumzike kwa amani!
Roho za marehemu wote zipumzike kwa amani!

