Friday, 21 March 2014

SAMAHANI PICHA INATISHA...MKE AFANYIWA UKATILI MKUBWA NA MUMEWE...!!TAZAMA MWENYEWE HAPA...

Hii picha inasambaa kwenye mitandao, naskia huyu mama amefanyiwa huu unyama na mume wake! Na kwa sasa yupo hospital, ila mpaka sasa haifamiki yupo hospitali gani hapa jijini..