Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, akisalimiana na Makamu
wake Dkt. Mohammed Gharib Bilal, baada ya kuwasili katika ukumbi wa
Tamisemi kwa ajili ya kuongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri mjini Dodoma
jana mchana. Rais leo anatarajiwa kulizindua rasmi na kulihutubia
Bunge Maalum la Katiba katika ukumbi wa Bunge mjini Dodoma.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha baraza la Mawaziri mjini Dodoma jana mchana
