Jeneza
lililobeba mwili wa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mara John Tupa baada ya
kuwasili nyumbani kwake wilayani Kilosa mkoani Morogoro Tayari kwa
mazishi.
Waziri mkuu Mizengo Pinda akitoa heshima za mwisho kwenye jeneza la mwili wa marehemu Tupa nyumbani kwake Kilosa.
Mkuu
wa mkoa wa Mbeya ambaye pia ni mwenyekiti wa wakuu wa mikoa nchini Abas
Kandoro akitia saini katika kitabu cha wageni nyumbani kwa marehemu
Tupa.
Makamo
wa Rais Gharibu Bilali akitoa heshima za mwisho kwa alieyekuwa Rc mara
mara baada ya kumalizika kwa ibada takatifu nyumbani kwake Kilosa.
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Morogoro Inocent karogeries akitoa heshima za mwisho kwenye jeneza la mwili wa marehemu Tupa
Makamo wa Rais Dk Bilali akisalimiana na askofu wa jimbo katoriki la Morogoro Telesphori Mkunde katika ibada ya mazishi.
Familia ya Marehemu Tupa wakisikiliza ibada ya misa ya mazishi ya mpendwa wao Tupa.
Watoto wa Marehemu tupa wakisindikizwa kuaga mwili wa marehemu baba yao.
Mjane wa marehemu Tupa Akiaga mwili wa mumewe mara baada ya kumalizika ibada nyumbani kwao Kilosa.
Waziri mkuu Mizengo Pinda akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Tupa
katibu mkuu wa UWT Amina Makilaki akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza la RC Tupa
katibu wa CCM mkoa wa Morogoro Rojas Romul akiwa katika foleni ya kwenda kuaga mwili wa marehemu Tupa.
Mkuu
wa mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu , Ana Tibaijuka na mkuu wa mkoa wa
tabora fatuma Mwasa wakitoa heshima za mwisho kwa marehemu Tupa.
Mwenyekiti
wa wazazi mkoa wa Morogoro Mecktridic Mdaku a na Juliana mwenda mjumbe
wa kamati wa Siasa ya mkoa wa Morogoro wakitoa heshima za mwishi kwenye
jeneza la mwili wa marehemu Tuapa.
IGP msataafu Omary mahita akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Tupa
Mkuu wa wilaya ya Tanga Halima Dendego akitoa heshima za mwisho
mwenyekiti wa CCM wilaya ya Morogoro Fikiri Juma akitoa heshima za mwisho
Viongozi wa CCM mkoa wa Morogoro wakitoa heshima za mwisho
Mke wa marehemu akisindikizwa kuaga mwili wa mume wake marehemu Tupa
Mke wa marehemu Tupa akitoa heshima za mwisho
Viongozi
mbalimbali wa mkoa wa Morogoro na mikoa mingine waliohudhuria mazishi
hayo wakifutilia ibada ya misa takatifu ya kumwombea marehemu Tupa


















