“IPS kukuza ujasiliamali wa jamii katika mawasiliano ya simu Burundi, Uganda na Tanzania
Machi 19, 2014 Shirika la kuhamasisha viwanda (IPS), chombo na silaha ya maendeleo ya viwanda chini ya mfuko wa maendeleo ya uchumi wa Aga Khan (AKFED) leo wanatangaza kuingia katika soko la mawasiliano la Afrika Mashariki chini ya kampuni iitwayo SMART. Jina la kampuni ni matokeo ya kura zilizopigwa Afrika Mashariki katika kampeni ya Uvumbuzi. Kuzinduliwa kwa kampuni hiyo kutaisaidia AKFED kukuza huduma zake za kibiashara kwa jamii katika nchi za Burundi, Tanzania na Uganda lengo kuu likiwa kuwekeza na kuwahudumia wateja.
Mkurugenzi mkuu wa Smart Afrika Mashariki, Abdellatif Bouziani akiongea na waandihsi wa habari wakakti wa utambulisho wa jina la mtandao wa simu za mkononi “SMART” ambapo jina hilo limepatikana kupitia promosheni ya NO NAME iliyoendeshwa mwishonimwa mwaka 2013.
Washindi wa promosheni ya no name wakiwa pamoja na menejimenti ya SMART ya Tanzania na Afrika Masahariki.
Mkurugenzi mkuu wa Afrika Mashariki, Abdellatif Bouziani akimtambulisha mkuu wa masoko wa Smart Afrika Mashariki, Brain Azemchapwakati wa utambulisho wa mtandao wa SMART

Mtandao
wa IPS una uwanda/uelewa mpana katika sekta ya mawasiliano. Ni
washirika wakubwa wa Roshan shirika linaloongoza katika utoaji wa huduma
za mawasiliano nchini Afghanistan na pia washirika muhimu katika
shirika la Tcell linaloongoza katika kutoa huduma Tajikistan. IPS pia ni
wawekezaji wakubwa na wa pekee waliowekeza SEACOM submarine cable
venture in East Africa. Wakati umefika ambao ushirika wa IPS ndani ya
SMART utaleta ushirikiano na kuweka record ya ushirikiano wa makampuni
ya simu Nepal na Cambodia na kuwafanya wawe waongozaji katika soko
hili.
Kuzinduliwa
kwa SMART kutashirikisha uzoefu wa AKDEF katika kuwekeza kwa lengo la
kuhamasisha ujasiliamali na ujenzi wa uchumi wa sauti ambao utatoa fursa
nyingi za ajira na kuboresha maisha ya watu. Afrika Mashariki. AKFED
imewekeza Serena Hotels, Diamond Trust Bank, Jubilee Insurance Group,
National Media Group na katika maeneo mbalimbali ya uzalishaji na
miundombinu kama vituo vya nguvu ya umeme vya Bujagali na Tsavo.
“Kazi
zetu katika mawasiliano kwa njia ya simu hasa Roshan-Asia ya kati ni
kuboresha uwekezaji wa jamii katika miundombinu ya jamii, huduma za afya
na elimu. Pia kutengeneza biashara yenye mafanikio katika soko ili
tuweze kujitofautisha na washindani wengine, Tunatazamia kuwa uwekezaji
katika kampuni dada ya AKDN utakua umeenea katika nchi za Burundi,
Tanzania na Uganda kwa zaidi ya miaka 100” alisema Lutaf Kassam Meneja
wa IPS
SMART
itaingia katika masoko haya ikiwa na dhamira ya embrance tamaduni za
ndani ili kuboresha jamii wanakofanyia kazi.mfano mzuri wa dhamiri hii
ni njia ambayo jina la kampuni lilivyochaguliwa. Kampeni ya Tupe Jina
ilizinduliwa mwishoni mwa mwaka 2013 ikiwahamasisha watu wa Afrika
Mashariki kupendekeza na kulipigia kura jina la kampuni. Kampeni hiyo
iliwavutia zaidi ya watu 70,000 na majina tofautitofauti yalipendekezwa
na kupigiwa kura. Mwisho kampeni ililipata jina la SMART ikikusudia
kuangalia uvumbuzi wa mawazo katika soko la Afrika Mashariki.
Kujifunza zaidi kuhusu SMART tembelea website yetu. Mawasiliano: Nicolous John, nicolousj.@bol.co.tz (+255 798 020 137).”