Friday, 28 March 2014

ANGALIA PICHA MAFURIKO MAENEO YA JANGWANI BAADA YA MVUA YA LEO


 Hivi ndivyo maji yanavyo onekana kujaa katika makazi Jangwani
 Baadhi ya watu wakionekana nje baada ya maji kuingia ndani
 Muonekano wa nyumba pamoja na njia ndogo ndogo zikiwa zimejaa maji 
Picha na Husein wa Dar es salaam yetu Blog