11:21 AM
mwili wa kijana huyo aliyefariki kwa shoti ya umeme ukiwa chini![]() |
| Mwili wa marehemu ukiwekwa kwenye machela ili kupelekwa chumba cha kuhifadhia maiti ktk hospitali ya Nyerere DDH. |
![]() |
| Panga alokuwa akikatia matawi na viatu vyake. |
![]() |
| Meneja wa Tanesco na Afisa wa jeshi la polisi wakipata maelezo ya jinsi ilivyokuwa. |
![]() |
| Hili ndilo tawi lililodondokea waya wa umeme na kupelekea kifo cha kijana huyo |




