Za Insta: Wema Sepetu kuhusu wanaomtukana, @vanessamdee Nigeria, Diamond muonekano
Instagram
umekua mtandao mwingine wa kijamii unaokua kwa kasi kwenye nchi
mbalimbali ikiwemo Tanzania kwa sasa ambapo zifuatazo hapa chini ni
stori na pichaz chache kutoka kwenye mtandao huu.