
Mshambuliaji
wa Timu ya Yanga,Hamis Kiiza akiipachikia timu yake bao la nne kati ya
saba yaliyotiwa kimiani mpaka sasa wakati wa mchezo wao wa Klabu Bingwa
Barani Afrika unaoendelea kuchezwa hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa
jijini Dar es Salaam.Yanga inaongoza kwa Bao 7-0.
Mshambuliaji
wa Yanga,Mrisho Ngassa akiondoka na mpira huku mabeki wa timu ya
Komorozine ya nchini Comoro wakimsindikiza wakati wa mchezo wao wa Klabu
Bingwa Barani Afrika unaoendelea kuchezwa hivi sasa kwenye Uwanja wa
Taifa jijini Dar es Salaam.Yanga inaongoza kwa Bao 7-0.
Mrisho Ngassa bado yuko na mpiraaaaa.....
Mrisho
Ngassa anapachika bao paleeeee...... Gooooooooo ni goli la sita hili
linaungwa hivi sasa na Mrisho Ngassa na kuwa mchezaji pekee aliefunga
bao tatu peke yake.
Wachezaji wa timu ya Komorozine wakilaumiana.Chanzo MICHUZI BLOG




