UNYAMA : BABA AMCHARANGA MAPANGA MTOTO WAKE KWA KUANGUSHA TREYI ZA MAYA
Tukio
hili lilitokea eneo la Kitunda Dar es salaam pale mtoto huyu
alipoangusha baiskeli iliyokua na trei 25 za mayai. Ni ngumu kuamini
kama Baba mzazi wa mtoto ndiye aliyetenda kitendo hiki.