Hizi
ni baadhi ya picha zikionyesha jinsi kilivyohappen huko Uingereza
kwenye show ya mkali toka Tanzania Ommy Dimpoz alipokwenda kufanya show
valentine ya mwaka 2014 ambayo host wake alikuta Mtangazaji Salama
Jabir.
Kwenye mtiririko wa hizi pichaz, Ommy Dimpoz pia ameshea pichaz nyingine za mechi ya soka aliyokwenda kuicheki.















