| Wachezaji
wa Mbeya City wakipanda ndege mchana wa leo Uwanja wa Ndege wa Songwe
mkoani Mbeya kuelekea Mombasa, Kenya ambako watakaa hadi Jumamosi
asubuhi watakapokwenda Tanga na jioni yake kucheza mchezo wa Ligi Kuu ya
Vodacom Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Coastal Union Uwanja wa
Mkwakwani.. |