Ni aibu sana mtu kunywa pombe mpaka
kushindwa kujua kiwango chako cha kusema basi.Unalewaaa mpaka akili
inagota njia ya kwenda kwako unaisahau,mbele huoni unaanguka mpaka
kutembea unashindwa mwisho unabebwa kwa style hii kurudishwa kwako.
Kunywa kwa kiasi ili uweze kujimudu kwa
style hii wahuni awachelewi kukufanyia vitu vya aibu.....mbayaaa(kwa
sauti ya mchungaji Lwakatare)