KUNA WATU WAKATILI SANA DUNIANI
Mwanadamu
anapofikia hatua ya ukatili basi naweza kusema hasira zake na nguvu
zake humshinda hata mnyama Simba.samahani wapenzi wasomaji hii picha
inasikitisha ila imenibidi niwafikishie ujumbe kwamba watoto wana haki
zao na kuwanyanyasa au kuwafanyia ukatili wa namna hii sio vizuri
kabisa.Kumbuka unapokorofishana na mkeo au mumeo na ukafikia hatua ya
kuwahukumu watoto kabla ya kujiua wewe hii ni kosa ambalo halikubaliki.