JUMA NATURE AMEMDISI DIAMOND KWA KUMUITA DADA MONDI KATIKA NYIMBO YAKE MPYA, DOWLOAD NA KUSIKILIZA HIYO NYIMBO ALIYO MSHIRIKISHA LADE JAYDEE
Mstari unaosema ‘Usiwe limbukeni wewe Dada Mondi, wakikuita mashabiki unakula bundi’ Kukata kiuno sana kwani ndio ufundi?
Katika
wimbo huo Juma Nature anazungumzia kuhusu muziki wake wa zamani na
kwamba hawezi kubadilika na kufanya kama wasanii wanaochipukia.
Usikilize hapa.