Monday, 10 February 2014

HOT NEWZZZ Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida na mkewe bi. Zarina Madabida wamefikishwa Mahakamani Kisutu kwa kesi ya kutengeneza ARV feki.