Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu na Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi Bw. Florence Turuka akitangaza
majina ya wajumbe wa Bunge Maalum la katiba jioni hii katika ukumbi
wa mikutano wa ofisi za Mawasiliano Ikulu jioni hii jijini Dar es
salaam.
Waandishi wa Habari wakiwa wanasikiliza kwa makini majina ya wajumbe watakao shiriki katika Bunge la Katiba litakalokuwa na wajumbe 640, litakutana kwa siku
70 (na kuongezewa siku 20 kama hawatoafikiana) kujadili Rasimu ya
Katiba iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Desemba 30, mwaka
jana, katika ukumbi wa mikutano wa ofisi za Mawasiliano Ikulu jijini Dar es
salaam
Majina yote tutawaletea hapa hapa ... Endelea kufuatilia
Majina yote tutawaletea hapa hapa ... Endelea kufuatilia
Picha na Dar es salaam yetu Blog