Thursday, 6 February 2014

DUH HUU UKATILI ZIDI YA BINADAMU






 


Wanajeshi katika Jamhuri ya Afrika ya Kati, wamemuua mwanamume mmoja anayetuhumiwa kuwa muasi wa Seleka huku ghasia zikikithiri nchini