DIAMOND PLATINUMZ...HUU NDIO UJIO WAKE MPYA WA AKIWA NA MKALI D' BANJ...STAY TUNED...!!!
Pichani
ni Diamond Platnumz na D' BANJ wakiwa studio ready kutengeneza muziki
mpya, sasa Diamond kutoa nyimbo nyingine na D'BANJ..Diamond alipost hiyo
picha na kuandika maneno haya hapa chini...