
Msanii kutoka Nigeria , D’banj ni mmoja kati ya member wa One na alitembelea wakulima wadogowadogo wa zao na cocoa nchini Ghana na kujionea inavyokua kua mkulima mdogo. D’banj aliweza kuanza shughuli ya kilimo huku akiwa hana hana namba moja ya soko la zao lake na aliweza kujifunza thamani ya kilimo.