DADA WA KAZI ANAVAA HIVI , MAMA MWENYE NYUMBA UPO UNAANGALIA TU, UNATEGEMEA NINI?
Wapo
watu ambao bado hawajajua madhara ya mavazi, mavazi yanaweza kuharibu
nyumba, dada wa kazi akijiachia namna hii na mwenye nyumba
unaangalia tu
madhara ni makubwa labda kama mnaishi wawili tu hapo ndani ila kama
unaishi na mumeo kazi unayooo..!!