wapenzi walioshinda walibusiana kwamuda wa masaa mawili na dakika 43.2 hours and 43 minutes
shindano hili hufanyika kila mwaka katika sikukuu za wapendanao yani Valentine's Day

kazimia huyu
sasa mwaka huu shindano hili likaletwa kwa style ya kipekee ambapo washiriki wote walitakiwa wavae nguo za harusini.
















