
Vigogo wa
TBA, Makumba Kimweri (kulia) na Richard Maliyaga (kushoto) wakiwa
katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar! (Picha na Maktaba).
VIGOGO
wa Wakala wa Majengo (TBA), Makumba Kimweri na Richard Maliyaga
walioruhusu ujenzi wa jengo linalochungulia Ikulu wamehukumiwa kwenda
jela miaka 9 kila mmoja au kulipa faini ya shilingi milioni 15 kila
mmoja na Hakimu Sundi Fimbo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar!
SOMA ZAIDI
SOMA ZAIDI
Maofisa
hao wa serikali kwa sasa wapo mahabusu kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi
Kisutu ambapo ndugu na jamaa wanaangaika kutafuta fedha za kuwalipia
dhamana.
-gpl