Thursday, 13 February 2014

BREAKING NEWS : CHADEMA KALENGA WAMCHAGUA MWANASHERIA MWENDA KUMVAA MTOTO WA MGIMWA



Wajumbe  wa mkutano  mkuu wa kura za maoni jimbo la Kalenga  wametegua kitendawili  cha nani kati ya  makada 13 atakayevaana na CCM katika uchaguzi huo baada ya kumchagua kwa kura za kishindo mwanasheria Sinkala Mwenda kwa kura 132 dhidi ya kura 122 alizopata mpinzani  wake wa karibu Grace Tendega huku  Zuberi Mwachura  akiambulia   0 katika uchaguzi huo matokeo  zaidi  hivi  punde