Akaunti ya klabu ya FC Barcelona ya mtandao wa Twitter jana usiku iliingiliwa na hackers muda mchache baada ya ushindi wa 2-0 dhidi Manchester City katika ligi ya mabingwa wa ulaya.
Tweets zote zilikuwa zikitumwa zilikuwa na link ya ’Syrian
Electronic Army’, ikimaanisha kwamba hackers hao kampuni hiyo ya kisyria
ionekane ndio walihusika na kuingilia akaunti hiyo ya Barca.
Tweets tatu zilizotumwa zilionyesha kuzunfumzia vibaya uhusiano wa
kibiashara wa Barcelona na Qatar – taifa la kiarabu linaloidhamini
Barcelona kupitia kampuni yake ya usafirishaji wa anga Qatar Airways.
The messages took over 10 minutes
for the Spanish and Catalonian profiles to delete, and even longer for
the English language outlet, but not before the hacker gave Clasico rivals Real Madrid a heads up.
The three official Twitter profiles of La Liga’s leaders – who put
one foot in the quarter-finals of the Champions League with a 2-0 away
victory at Man City on Tuesday – have a combined following of just over
21.3 million people.