Ajali
ya Magari mawili likiwemo lori la Mafuta na Lori la Mizigo lililotokea
eneo la Vigwaza eneo la Ruvu mchana wa leo, Ijumaa Feb 7, 2014 ambapo
magari hayo yamefunga njia na
kusababisha usumbufu mkubwa. Wakizungumza kwa namna tofauti mashuhuda wa ajali hiyo toka eneo la tukio wamesema magari hayo yaligongana wakati yakipishana na kusababisha kufunga njia.
kusababisha usumbufu mkubwa. Wakizungumza kwa namna tofauti mashuhuda wa ajali hiyo toka eneo la tukio wamesema magari hayo yaligongana wakati yakipishana na kusababisha kufunga njia.
Kila mmoja akitahamaki asielewe la kufanya, huku juhudi za kuondoa magari eneo la tukio likiendelea.
Taharuki kwa wananchi waliokuwa eneo la tukio. Picha kwa hisani ya Mdau Saphina wa Kajunason Blog.