Beki Mertesacker ndiye aliyeonekana kumuwakia Ozil - mmoja wa rafiki zake wakubwa katika soka - na akamnyooshe kidole cha mkwara mzito kiungo huyo mwishoni mwa mchezo.
Mkwara mzito: Mertesacker akiendelea kumfokea Ozil

Anaua soo: Hapa anawapigia makofi mashabiki akiwa na Jack Wilshere


Mertesacker akimchimba mikwara Ozil wakati wanatoka uwanjani

Hiki ndiko kilemeta balaa Arsenal

