MTU huyu mkazi wa karatina nchini kenya alitoa kali ya kula nyasi kama mbuzi...! Alidaiwa kuwa na tuhuma za wizi wa mifugo, Wakazi wa karatina walisema kwamba mtu huyu alizoea kuiba mifugo ya watu lakini hapo alipoiba kaiba pasipoibwa..! Yani kamuibia kigagula kakumbana na ndumba ya mwaka mtu mzima kaumbuka na
kutafuna majani hadharani, Sijui alidhani ni mirungi au ni nini?..
Tuende mbele na kurudi nyuma jamani wizi noma!