Tuesday, 24 December 2013

TASWIRA ZA MKUTANO WA ZITTO KABWE KIGOMA MJINI

Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe, akiwahutubia wananchi wa Kigoma Mjini leo.
Mapokezi ya mbunge Zitto Kabwe.
Zitto akiwashukuru wananchi wa Kigoma Mjini.
(PICHA NA ZITTO KABWE)