 |
| Bus hilo la Air Bus lililogonga gari la wachina na kusababisha majeraha kwa abiria waliokuwa wakitokea Dar-Tabora katika kijiji cha Kigwa umbali mfupi kuingia mjini Tabora. Masaibu haya yalitokea jana tarehe 23-12-2013 |
 |
| [Sijapata kupata habari kuhusu majeruhi] |
Picha zimepatikana katika kundi la facebook la "TABORA NDIO KWETU"
Hongera: